Utabiri wangu kuhusu Mkeka wa Baraza la Mawaziri!

Kajifunze kuandika; eti kutakuwa na 'igizo jipya' kutoka Kanda ya akina ngosha. Unaelewa maana ya igizo?
 
Huyo mzee mkuchika unamjua vzur mkuu?

Huyo haguswag...wanaomfaham vzur watakwambia..ndomana anapewa wizara flan flan hiv zisizo na kaz maalum..

Huyo mwache kama alivyo...toa wengne...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waziri mkuu ajae ni mh lukuvi
Nafasi hiyo ateuliwe Professa Asaad - mzalendo huyo ana exposure kubwa kwenye masuala mengi,hana hulka ya kujipendekeza,hana makundi, haogopi kusema ukweli - na kizuri zaidi ana uwezo mkubwa wa kufatilia kwa karibu miradi yote mikubwa nchini na kubaini mapema mambo ya ndio sivyo na kuchukua hatuwa stahiki bila ya kuogopa mtu. Professa Assad angekuwa msaada mkubwa kwa Madam President.
 
Lukuvi alituvuruga Mabwegere kwa tamaa zake!
Mkuu
Mkuu Nani kakwambia msema kweli nchi ya ahadi ananafasi!!?
 
Rudia tena kuandika. Tena kapewa very challenging Ministry. Hongera Sana Prof Mkenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…