Utabiri wangu kuhusu Ronaldo na Madrid....

Utabiri wangu kuhusu Ronaldo na Madrid....

Timu itakayobeba uefa ni ambayo wengi hawaifikiri watashtuka tu timu hiyo ikiwa imeshinda first leg 3+ ugenini ... na mimi nimetabiri tu
 
CR7 ni mnyama sio mtu wa kawaida. Huwa sifurahii kumfananisha Messi na Ronaldo sababu ubora tu,Cristiano yuko vema zaidi. Hizo rekodi za mabao,CR7 amevunja kwa mechi chache sio kwa lundo la mechi kama Messi lakini watu wanampigia chepuo Messi
 
Jamaa anaruka juu zaidi ya walinzi,anaganda hewani kama ndege za kivita kuusubiria mpira then mpira unakuja unamkuta kidume bado kiko hewani kisha anaupeleka nyavuni. It's unbelievable.
 
Jamaa anaruka juu zaidi ya walinzi,anaganda hewani kama ndege za kivita kuusubiria mpira then mpira unakuja unamkuta kidume bado kiko hewani kisha anaupeleka nyavuni. It's unbelievable.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] angalia wakati ana dribble mpira lile goli la pili alipompanga mwenzake,kutanua uwanja,akampatia pasi ambapo within a minute watu wametikisa nyavu. He is magical Ronaldo[emoji460]
 
Halafu jana tangu sekunde ya kwanza alikuwa na furaha,kacheza kwa furaha miksa mikasi na hata alipokuwa akifanyiwa madhambi hakuonekana kukasirika.
Mechi 8 goli 12,kafunga mechi zote mfululizo na anakuwa mchezaji wa pili Uefa kufunga katika mechi 8 mfululizo nyuma ya Ruud Van Nistelrooy aliyefanya hivyo katika msimu wa 2002/3.
 
kumtoa psg ndo unadhan madrid atachukua uefa ? yule kocha wa psg hajielewi, ana wachezaji wazuri lakini ameshindwa kuwaorganize, huwa anabahatisha kupanga kikosi, ataishia kuchukua league one tu...

back to the topic, uefa ya mwaka huu bado iko open kina bayern, barca man city wako vizuri... kati ya hizo timu tatu mshindi atatoka hapo.....

mark my words....
amejuloga nani?? Psg kamwe haitakaa kuja kuchukua ubingwa wa uefa kwa miaka kumi ijayo real kumpiga ni jambo la kawaida na real mtu atakayemsumbua ni barca tuu na akitolewa real njia nyeupe ya ubingwa toka usingizini kwanza ndio uongee
 
Mkitaka ronaldo asifunge gem inavoanza msipige ule wimbo wa uefa champions
 
Back
Top Bottom