Utabiri wangu kuhusu Yanga ndiyo unaenda kutimia sasa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mwaka huu mwezi wa 8 tariki 2 nilipost uzi huku JF nikasema Yanga kimataifa atafanya vizuri zaidi ya Simba yaani atafika mbali sana zaidi ya Simba.

Na ushindi wa Yanga utakuwa unapatikana zaidi ugenini, nyumbani watakuwa wanafanya vibaya wakifika ugenini moto ndiyo unawaka. Acha sasa tuone kitakachotokea Al Hilal.



Naamini sijawahi kudanganya kitu, mimi nikiota tu kitu ni lazima kitokee. Acha tuone game itakuwaje.
 
Yanga hatujipi Moyo, UUwekezaji na usajili wa kisayansi ndio unao tufanya tutembee kifua mbele. Kama wewe unahasira juu ya Yanga, tunza hasirazako tukutane tarehe 23. Kwasasa tunakwenda ku mpasua mwarabu wa mchongo, Haina mjadala.
Hyo trh 23 mtaaaibika sanaaaaa nadhani ndo utakua muda muafaka wa kuja kwa wababe wenu Simba kuomba ushauri jinsi ya kuwa multpurpose yani unapiga kimataifa na ndani unawachakaza.
 
Nikusaidie tu iko hivi Al Hilal Vs Yanga hii mechi itaisha Al hilal akiwa mshindi wa goli Mbili au zaidi.
 
Hakikisha mnachoma dawa ya mbu ndugu yetu sije akaumwa na Malaria.
 
Endeleeni kujipa matumaini tu kupasuka Sudan hilo halina mjadala.
 
Ndoto ya mwendawazimu
 
Hyo trh 23 mtaaaibika sanaaaaa nadhani ndo utakua muda muafaka wa kuja kwa wababe wenu Simba kuomba ushauri jinsi ya kuwa multpurpose yani unapiga kimataifa na ndani unawachakaza.
Kwa Simba ipi ya kuifunga yanga!?
 
Kinachowachelewesha kuzikwa nyie wa jangwani ni ndugu wa nje ya nchi ambao hawajafika kuja kuwaona ila kufa mmeshakufa ngoja jpili tuwafukie kbs kuwaacha mochwari mnajiona wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…