kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mwaka huu mwezi wa 8 tariki 2 nilipost uzi huku JF nikasema Yanga kimataifa atafanya vizuri zaidi ya Simba yaani atafika mbali sana zaidi ya Simba.
Na ushindi wa Yanga utakuwa unapatikana zaidi ugenini, nyumbani watakuwa wanafanya vibaya wakifika ugenini moto ndiyo unawaka. Acha sasa tuone kitakachotokea Al Hilal.
Naamini sijawahi kudanganya kitu, mimi nikiota tu kitu ni lazima kitokee. Acha tuone game itakuwaje.