Utabiri wangu kuhusu Yanga ndiyo unaenda kutimia sasa

Huna medulla mkuu nakuhakikishia, ama unamaanisha ugenini kama ile ya kwa taifa ya zanal sijui nini fc ya sudan ya chini ndio mfano wa ushindi wa ugenini

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Naamini watafanya vizuri wakienda shirikisho.
Huku kwa wakubwa 🤔
 
Bila shaka kijana unaongolea miemko na mapenzi binafisi ila kama ungekua unafwatilia vizuri ligi ya mabigwa Africa usingekaa kujadili hizo hisia zako ligi ya mabigwa Africa ina upumbavu mwingi sana hasa Kwa hiz timu ngeni zinapata tabu sana mwakajana nimejaribu kufwatilia mechi nyingi sana mfano nilicheki game kati ya Petro atletico,na mamelod kweny game ya robo fainali ile mechi mamelodi alikua anakufa goli hata nne lakin refa aliwatengenezea mazingira had wakupunguziwa aibu refa alikataa penati tatu za wazi za Petr Altetico,alikataa goli la wazi kabisa la Petro atletico,Yani kama huna moyo huwez tazama kabisa mechi Yani ni upambavu ,kama huamini jaribu kuwa unafwatilia hizi game ZBC 2 hao Al hilal mnaowachukulia kirahisi wanauzoefu mkubwa sana na ligi ya mabigwa Africa nazan unakumbuka msimu ulioisha walikua wao kundi moja na mamelodi sundown, Al.Ahaly ya misri pamoja na ndugu zao wa pale pale Sudan
 
Ile game ya petro iliisha sare nadhani ila mamelodi alizidiwa kila kitu na wale wahuni wa angola jamaa walikua wanapiga kaunta za uhakika sana


Ilo kundi nakumbuka al ahly hakupata matokeo pale sudan tena alichomoa yeye goli walikua washalala
 

jumapili tutakugawana
 
Tatizo la yanga mnacheza mpita mdomoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…