Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Huna medulla mkuu nakuhakikishia, ama unamaanisha ugenini kama ile ya kwa taifa ya zanal sijui nini fc ya sudan ya chini ndio mfano wa ushindi wa ugeniniMwaka huu mwezi wa 8 tariki 2 nilipost uzi huku JF nikasema Yanga kimataifa atafanya vizuri zaidi ya Simba yaani atafika mbali sana zaidi ya Simba.
Na ushindi wa Yanga utakuwa unapatikana zaidi ugenini, nyumbani watakuwa wanafanya vibaya wakifika ugenini moto ndiyo unawaka. Acha sasa tuone kitakachotokea Al Hilal.
View attachment 2386218
Naamini sijawahi kudanganya kitu, mimi nikiota tu kitu ni lazima kitokee. Acha tuone game itakuwaje.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app