ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,134
- 2,993
Mnakwenda kukutana na ndoige huko sudan..mkigeuka kushoto mnao mkienda kulia mnao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo bhana, mbona ulipoota unabakwa haujabakwa mpaka leo? Au bado unasubiri ndoto yako itimie. Hii ikitimia bas na ya Uto itatamia. Those are just wishes...Mwaka huu mwezi wa 8 tariki 2 nilipost uzi huku JF nikasema Yanga kimataifa atafanya vizuri zaidi ya Simba yaani atafika mbali sana zaidi ya Simba.
Na ushindi wa Yanga utakuwa unapatikana zaidi ugenini, nyumbani watakuwa wanafanya vibaya wakifika ugenini moto ndiyo unawaka. Acha sasa tuone kitakachotokea Al Hilal.
View attachment 2386218
Naamini sijawahi kudanganya kitu, mimi nikiota tu kitu ni lazima kitokee. Acha tuone game itakuwaje.