Utabiri wangu ligi kuu ya VPL

Utabiri wangu ligi kuu ya VPL

jimmymziray

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
816
Reaction score
515
Simba inaweza kufunga magoli zaidi ya 80, hii imekuja baada ya mechi zake 4 za karibuni, 2 za kirafiki na moja ya ligi na moja ya ngao ya hisani huku ikiwa imeshinda magoli 22,kati ya hayo, 17-0 magoli nje ya penalt, na 5 ya penalti huku wakiwa wamefungwa magoli chini ya ma5 ya penalti.
 
Mkuu, kwa mwendo huu wa saba saba kuna kila dalili hadi mwisho wa msimu huu Mnyama akawa kafunga goli zaidi ya 200.
ANGALIZO.. Goli hizi ni za VPL pekee.
 
Simba km madrid vile, yani si chini ya goli tano, tupo hapa tutajionea mpk goli 10 na hv gyan tyr katua, tutarajie goli nyingi ambazo ndio zilitunyima ubingwa
 
Sio siri hii simba ya mwaka huu inanikumbusha simba ya kina mafisango, yani yanga wakibahatika watakula 6
 
Ndio maana wamepaniq balaa, hujaona thread kama Mia hivi za kuiponda ama Simba au uongozi na maamuzi ya tff mpya???

Ajibu battery low!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Mkuu, kwa mwendo huu wa saba saba kuna kila dalili hadi mwisho wa msimu huu Mnyama akawa kafunga goli zaidi ya 200.
ANGALIZO.. Goli hizi ni za VPL pekee.
Weka akiba ya maneno
 
Mkuu, kwa mwendo huu wa saba saba kuna kila dalili hadi mwisho wa msimu huu Mnyama akawa kafunga goli zaidi ya 200.
ANGALIZO.. Goli hizi ni za VPL pekee.
Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida
 
Endeleni kutabiri tu ila siku ya siku msije mkatuambia FIFA watatengua ubingwa wa Yanga
 
Attachments

  • 21272340_10155105691732462_6403323970218871704_n.jpg
    21272340_10155105691732462_6403323970218871704_n.jpg
    36.9 KB · Views: 22
Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida

Mkuu, kwa Simba hii network kamwe haiwezi kua tatizo.
 
Back
Top Bottom