Utabiri wangu ligi kuu ya VPL

Utabiri wangu ligi kuu ya VPL

Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida


Kukariri mmezoea sasa angalia msimu huu msijetwikwa magoli 8
 
Simba inaweza kufunga magoli zaidi ya 80, hii imekuja baada ya mechi zake 4 za karibuni, 2 za kirafiki na moja ya ligi na moja ya ngao ya hisani huku ikiwa imeshinda magoli 22,kati ya hayo, 17-0 magoli nje ya penalt, na 5 ya penalti huku wakiwa wamefungwa magoli chini ya ma5 ya penalti.
Propaganda hazina nafasi kwenye Soccer, vipi kuhusu zile 7 mlizofungwa Afrika Kusini ktk game ya kirafiki Mzee?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno WA MCHANGANI kwenda 15678
 
Back
Top Bottom