jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
- Thread starter
- #21
Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida
Kukariri mmezoea sasa angalia msimu huu msijetwikwa magoli 8