jimmymziray
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 816
- 515
Simba inaweza kufunga magoli zaidi ya 80, hii imekuja baada ya mechi zake 4 za karibuni, 2 za kirafiki na moja ya ligi na moja ya ngao ya hisani huku ikiwa imeshinda magoli 22,kati ya hayo, 17-0 magoli nje ya penalt, na 5 ya penalti huku wakiwa wamefungwa magoli chini ya ma5 ya penalti.
Mkuu, kwa mwendo huu wa saba saba kuna kila dalili hadi mwisho wa msimu huu Mnyama akawa kafunga goli zaidi ya 200.
ANGALIZO.. Goli hizi ni za VPL pekee.
Hizi nyuzi za kuwaudhi watani jamani, mnajua wenzenu wanasubili mechi ya 12 ndio waamke waanze ligi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wamepaniq balaa, hujaona thread kama Mia hivi za kuiponda ama Simba au uongozi na maamuzi ya tff mpya???Sio siri hii simba ya mwaka huu inanikumbusha simba ya kina mafisango, yani yanga wakibahatika watakula 6
Weka akiba ya manenoMkuu, kwa mwendo huu wa saba saba kuna kila dalili hadi mwisho wa msimu huu Mnyama akawa kafunga goli zaidi ya 200.
ANGALIZO.. Goli hizi ni za VPL pekee.
Weka akiba ya maneno
Wakati huo paka ndiyo anaanza kulala kama kawaida ya miaka yoteHizi nyuzi za kuwaudhi watani jamani, mnajua wenzenu wanasubili mechi ya 12 ndio waamke waanze ligi sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaidaMkuu, kwa mwendo huu wa saba saba kuna kila dalili hadi mwisho wa msimu huu Mnyama akawa kafunga goli zaidi ya 200.
ANGALIZO.. Goli hizi ni za VPL pekee.
Mkuu, naona wakati upo eneo lenye network kwa wingi. Kumbuka itafika muda network itakuwa ngumu kupatikana kama kawaida
We have been there before. Muda utanena!Mkuu, kwa Simba hii network kamwe haiwezi kua tatizo.
Utabiri wako juu ya Simba kwenye VPL. Jifunze kuandika kwanza ndio tutaamin na tabiri zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
We have been there before. Muda utanena!
Sheikh Yahya bado yupo?
Msimu huu tumestuka mapema. Kitu ni point tuMlituzidi kwa magoli tuu sio lingine