Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Aisee muda ni mwalimu mzuriEndeleeni kucheka ila msiwe mnajicheka, kesho mtaisoma nAmba vizuri
Aisee muda ni mwalimu mzuri
uhalisia kuwa kila mechi atakayocheza atafunga goli 4 auTusiishi kwa nadharia, tuangalie uhalisia
uhalisia kuwa kila mechi atakayocheza atafunga goli 4 au
embu ngoja nilale zangu kwa maana hujanishawishi bado...kwa heriKwani mechi nne za mwisho kucheza kashinda goli ngapi jumla halafu zigawe kwa 4
embu ngoja nilale zangu kwa maana hujanishawishi bado...kwa heri
Sawa nitarudi hapa jumamosi...Mechi ya azam jumamosi itakupa ushawishi mkubwa, si chini ya goli 3
OkayNitakutag kabisa