peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Kwà teuzi 61 zilizofanyika jana ninakubaliana na wewe 100% . Tena atakuwa mkuu wa Mkoa wa Dar au Dodoma. Huyu ni kidata mwingine.Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kwanini katavi au Lindi?Labda awe mkuu wa mkoa wa Lindi ...au katavi
Kwanini katavi au Lindi?
Yaani kusema anampenda Sana bi mkubwa Basi anaula uteuzi? Basi na Mimi nampenda Sana mamaKumbuka Makonda alimtabiria mama kuwa makamu wa Rais na ikatokea na alishawai kusema yeye kama kijana anampenda sana mama....Hapa mimi naona mama atalipa fadhila tu.,makonda atapewa kazi.
Na wote tuseme "AAAAAMINA!"Mungu aepushie mbali huu utabiri wako!
Atafute shughuli nyingne ya kujipatia kipato halali sio lazima aishi kwa kuvizia teuzi!
Makonda aache mdomo wake.Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Mama hapendi watu wanaopandisha mabega na makonda sio tu anapandisha mabega bali anakunya mezani kabisa.
Yaani unataka kumlinganisha Makonda ni kidata?Kwà teuzi 61 zilizofanyika jana ninakubaliana na wewe 100% . Tena atakuwa mkuu wa Mkoa wa Dar au Dodoma. Huyu ni kidata mwingine.
HakikaMungu aepushie mbali huu utabiri wako!
Atafute shughuli nyingne ya kujipatia kipato halali sio lazima aishi kwa kuvizia teuzi!
Firing squard ndo wap???????Kama Mimi ndio Mama ningempeleka Makonda na Ole Sabaya kwenye firing squad ili tuyasahau hayo majina
Makonda huyu huyu alimpiga kofi mzee wetu? Huoni kama mama atakuwa kaamua kuchagua upande, tafakari ilo!!?Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi