Utabiri wangu: Makonda kurudishwa ukuu wa mkoa

What about the US na washirika wake watamkubali kweli..
 
Umenikumbusha enzi ya mzee Mwinyi,awamu ya pili. Ndiko tunako rudi.
 
Makonda aliwahi kumvimbia Mpango juu kukataa kulipia makontena yake ya furniture. Lakn aliweka nginga mpaka mwisho. Kwahyo makonda na makamu wa rais wa sasa mbalimbali
 
Huyo apewe ukuu wa Wilaya ya huko kwao Koromije ili akaanze kujifunza namna ya kuishi na watu pamoja na athletic za leadership.
 
Makonda hafai kuwa kiongozi hana jipya...zaidi ya drama zake za kwenye social media. Ni mweupe mno..kichwani.
 
Sishangai maana kuna tetesi ziliwahi vuma huko nyuma kuwa yeye na ...... wana ....
Naomba niishie hapo .
Kigogo aliitoaga hiyo.
 
katika watu wanaokula 'laha' Duniani yeye ni namba moja hivyo sidhani kama atakubali uteuzi
 
Mbona mnahabgaika sana na Makonda? Amewahi kuwaambia kuwa hana uwezo wa kuishi bipa ya kuwa mkuu wa mkoa?

Fanyeni kazi mnaweza kujipangia kuliko kuliko kusubiria kazi za kudra.
 
utabiri wako ni mzuri, ila kila zama na kitabu chake, usishangae akapandishwa pia mahakamani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, watu kuuwawa na kukutwa kwenye viroba au hata kupigwa risasi LISSU
 
Kama anakula raha kuliko watu wote Duniani, huo ukuu wa mkoa ni kujidharirisha tu. Aendelee kula raha tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…