mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
al merrikh 4-0 utopolo. mnyama 3-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya TANESCO wamefanya yao toka saa 3 asbh ningekuuliza baada ya mechi kwishaal merrikh 4-0 utopolo. mnyama 3-0
Muda bado tuendelee kusubiriPower Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2
Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.
HahahahahaSawa, ngoja tuone
Hahahahaha
Jamaa wa simba humu, wengi wao nahisi wamerukwa na akiliUtabiri ushabuma...
Chawa wa mtoa uzi unajisikiaje na kiherehere chako hapo ulipoWewe sema hivyo tu? Ulishaziona tabiri zake za nyuma? Shida matokea yakija kama alivyotabiri ndo mnaanza kusema "kumbe mwamba alikuwa sahihi bhana!".
Nahisi habari unazo sasa🥱[emoji23][emoji1787]
Huyu sio mtabiri ni tapel kabisaa
Mtabiri wa mchongoPower Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2
Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.
Muhasibu mwenye CPA ya India aliyespeshalaizi kwenye upimaji hasara za usajili kati ya west Africa na Tanzania. Ndio aliandikia thesis yakeNmemkumbuka mhasibu feki