ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Angeweka kwa huo utabiri,hakika angejuta.Kwa Nini usiweke hela kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeweka kwa huo utabiri,hakika angejuta.Kwa Nini usiweke hela kabisa
MweePower Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2
Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.
Kuna mwamba nilimwambia tumpe Juve na Yanga odd 5 akabisha.Shida ni mtu kutabiri kwa mapenzi badala ya uhalisia
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Ramli chonganishi hazitakiwiiiiiPower Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2
Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.
[emoji38][emoji38][emoji817][emoji817]Kwa hiyo Simba anasinda na Yanga anakalishwa......
Hivi ndio umeamua
Anyway mimi natabiri upande wa Zambia, eiza Simba anashinda au Dynamo anashinda au wanaenda draw na upande wa Kigali, hapa kama sio Yanga anashinda au El Mereik kushinda basi wanaenda draw. Kama Kuna mtu anabisha au haniamini basi tuwekeane hela milioni kwa milioni
Ona litabiri uchwara mpaka muda huu linagugumia tu kwa maumivu.Power Dynomos 0 Simba 1 au Power Dynamos 0-Simba 2
Al Marekh 0 Yanga O au Almarekh 1- Yanga 1.