Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.
Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo toka kwa pande zote mbili za mashabiki, derby huu imekuwa na ulivuta hisia hata kwa watu wenye Karama zao kutabiri matokeo ya game hizi.
Hivyo kwa Karama niliyopewa natabiri kesho matokeo yatakuwa draw yaani kutoshana nguvu.
Najua ndugu zetu wana Lunyasi walikuwa wamepanga baada ya Mechi wangeanza Derby yao na Viongozi wao hata hivyo matokeo haya yatawafanya watulie waone hakuna haja ya kufanya hiyo Derby na Viongozi wao.