Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Alitabiri kama shabiki wa Simba. Washukuru kupigwa kimoko
 
KAMA ULIONAA HIIIII POLENI SANA WANA SIMBAA WENGINE NUSU SAA NZIMA TUMEVALISHA KANGA PUMBU ZETU MVUA ISINYESHE
 
Mkuu mshanajr itoshee tu kukuambia kuwa Mpira siyo ramuli.

Tunaojua mpira na maana ya Derby hatuwezi leta Mambo ya ndoto za mchana kwenye Derby game.
Mshana jr.

Nilikupa tahadhali lakini ukaendelea kuamini katika Ramuli zako.. ona Sasa umeumbuka mchana kweupe na utabiri wako. Uwe unasikia ya wajuzi wa soka.
 
Mr Tyang muda ni hakimu mzuri.. Tusiutangulie muda kutoa hukumu

Jr[emoji769]
Vipi mkuu kuhusu maono na ndoto yako umefikia hatua gani.

Muwe mnaacha kuleta Mambo ya Ramuli na Imani za Ulozi kwenye Mpira Tena Mechi ngumu kama Derby match.
 
ma concern
sitarajii. Kuonaa lawamaa kilichokuwepo HAPAN nnutabiri MSHANA JR achezi uwanjani tupunguze jazbaaa Morrison asifanye undugu wetu usiendeleee Moira n upendooo na furahaaa wewe SIMBA inakuuuuma vaa jezi ya Yanga
Alisikikaa mbelee shabiki WA Yanga...
 
Tarot imeshamaliza.. Simba bingwa kwa bao 4 bila ama 2

Jr[emoji769]
HAPA NDIPO ULIILAZA NJAA SIMBAA WAZEE WAKAISHIA KULIWA HELAA SIJAKWAMBIA WAZEE WA MORO WAMEONDOKA NA SH NGAPI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…