Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Haha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.. Hivi kwani nilitabiri pekeyangu.. Well kwangu mimi bado Simba kashinda
Mshana jr.

Nilikupa tahadhali lakini ukaendelea kuamini katika Ramuli zako.. ona Sasa umeumbuka mchana kweupe na utabiri wako. Uwe unasikia ya wajuzi wa soka.

Jr[emoji769]
 

Usilete tena upumbavu wako hapa
 
Njooo tena.
 
Simba 4 - Yanga 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…