Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki la kufa niambie nini kitanikuta na nitakuwa nani na kivipi..?Utakufa ukiwa na miaka 75
Jr[emoji769]
Uchochezi kidogo![emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 1375378
😂😂Kwahiyo sasa unataka kunipangia cha kufanya? Huo sio utabiri sasa
Jr[emoji769]
Hifadhi maneno... Na weka hakibaHuyu mshana Hapa kafanya kitu inaitwa
Ushabiki wewe Sema upo Simba ndo Maana una Tabiri hivi Mpira ni Dakika 90 Hata ile mechi ya january4 nayo yalikuwa Kama haya haya lakin mwisho wa siku ikaja Droo so, Mpira hautabiriki Brother, huu Uzi umekosea Kabixa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwenye anga la simba hujaiona hiriz ya kagere?Hizi ndio ndoto ninazozitaka mimi
Kama hupingi ramli haya twende kazi..😎Sijajilinda nafanya utabiri sipigi ramli
Jr[emoji769]