Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Mkuu wakat naandika hii comment hapa 2:30pm na game ya yanga na Simba itapigwa kwenye saa kumi na moja hv calculate half and fool moon na siku na tafuta jina la mwamuzi wa Kati

Mchezo utakuwa mgumu first yellow to Pasco Wawa gol la yanga litapatikana upande wa kushoto mwa lango la Simba ila mchezo huu utaisha kwa droo au ushind wa yanga kwa zisizid tatu jumla yote kwangu ndio utabiri wangu nimechukulia kwa mbali kidogo

kilicho akilini kitumie
 
Huyu mshana Hapa kafanya kitu inaitwa

Ushabiki wewe Sema upo Simba ndo Maana una Tabiri hivi Mpira ni Dakika 90 Hata ile mechi ya january4 nayo yalikuwa Kama haya haya lakin mwisho wa siku ikaja Droo so, Mpira hautabiriki Brother, huu Uzi umekosea Kabixa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hifadhi maneno... Na weka hakiba

Jr[emoji769]
 
Mkuu? Mimi nikiwa upande wa timu yetu ya wananchi... ngoja nisubirie na niweke akiba ya maneno kwenye bandiko lako.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…