Si mbali kabisa. zimebakia siku 03 pekee.Kuwa mpole tarehe 8 sio mbali
Jr[emoji769]
Mtani naona hutaki kujifunga. 🤣🤣Mshana Baba! haya mkuu ngoja tusubiri hiyo tarehe, tutafukua hili kaburi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani naona hutaki kujifunga. [emoji1787][emoji1787]
Usijali wa kuheshimiwa ni wengi tuuu
Jr[emoji769]
Umeonaeee!! Dkk 90 ndo mwamuzi na mechi ka hizi huwa zinaishia kwa sare tu au ushindi mwembamba kwa mmoja wapo.ndugu yabgu mi ni kama wewe hatuamini katika ndoto za usiku kwenye mpira wala uchawi, tunaamini mpira ni dka 90, sasa mshana anajua Yule Chizi wetu alisema tukifungua mdomo unaweza ukatuponza tarehe 8...mi ntaongea baada ya mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app