Niko poa dada ake jamani vipi weweDada nakusalimia ndugu yako. Mzima?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata ingekuwa chungu dada tungekubaliWacha weee!!! Nilijua tu Dada hapa lazima 5imba mukubali mana kauli sukari hii. [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio hapo kakaUtaanzaje kwa mfano [emoji23]
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji120][emoji120]Mshana Hawa wote unaowaona wana mawazo negative juu ya utabiri wako ndo Yanga hao binafsi natembelea utanibiri wako nataka kuweka mke ,watoto na kile kmchepuko kwenye hii game.
Sent using Jamii Forums mobile app
bullar ukiachana na utabiri nami ni binadamu mwenye hisia kama wengine.. Hapa nilichokuwa najaribu kufanya ni kuchagiza utabiri... My apology kama nimekukwaza... Hii ni michezo tuu
Jr[emoji769]
Naamini umenielewa utetezi wanguMimi sijakwazika sababu sina interest na mpira wa Tanzania ila nmeshangazwa na utabiri wako wa kishabiki
Sent using Jamii Forums mobile app