Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Mkuu mshanajr itoshee tu kukuambia kuwa Mpira siyo ramuli.

Tunaojua mpira na maana ya Derby hatuwezi leta Mambo ya ndoto za mchana kwenye Derby game.
 
Mr Tyang muda ni hakimu mzuri.. Tusiutangulie muda kutoa hukumu
Mkuu mshanajr itoshee tu kukuambia kuwa Mpira siyo ramuli.

Tunaojua mpira na maana ya Derby hatuwezi leta Mambo ya ndoto za mchana kwenye Derby game.

Jr[emoji769]
 
Mimi sijakwazika sababu sina interest na mpira wa Tanzania ila nmeshangazwa na utabiri wako wa kishabiki
bullar ukiachana na utabiri nami ni binadamu mwenye hisia kama wengine.. Hapa nilichokuwa najaribu kufanya ni kuchagiza utabiri... My apology kama nimekukwaza... Hii ni michezo tuu

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom