Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Kwa Mechi ya Jana ya Azam na Simba, utabiri huu umekamilika Kwa asilimia 80.

Kama Azam amemchapa Yanga goli Moja Kwa [emoji83]
Simba kamchapa Azam ambaye ni mbabe wa Yanga 3-2

Hapa Kwa Hitimisho la Kimantiki,
Yaani Logical Conclusion.
Bila hata kuhusisha nguvu za Unajimu.

Kwa kiwango cha chini kabisa,
Simba atamfunga Yanga goli 2-0
Yaani Azam kamfunga yanga goli 1+ magoli ya Simba aliyomchapa Azam ambayo ni 3.
1+3 =4
4- 2 ambazo ni goli za Azam kamfunga Simba = 2.Goli atakazo fungwa Yanga na Simba kwa kiwango cha chini.
Hivyo matokeo ya kiwango cha chini ni 2-0, 3-1, 4-2.nk
In favour of Simba SC.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji205][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Jr[emoji769]
 
Mikia hawawezi kumfunga Yanga labda marefa wawabebe kama kawaida yenu au mtoe rushwa kitu ambacho chapa GSM wamekizuia wametoa 250 m kwa ajili ya mechi hiyo na refa tunamnunua kwa hiyo mikia wenye pressure msije uwanjani
 
Kuwa makini usije ukaomba mods wafute huu uzi baada ya game..simba watatawala mchezo kwa nafasi kubwa ila mshindi atakuwa yanga..pia magoli yatakuwa mengi sio chini ya magoli matatu...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]omba Mungu usije ukafuta hii reply... SHIMBA atatawala mchezo mwanzo mwisho na magoli atafunga ya kutosha... In fact anaenda kuweka rekodi mpya kulingana na utabiri

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]omba Mungu usije ukafuta hii reply... SHIMBA atatawala mchezo mwanzo mwisho na magoli atafunga ya kutosha... In fact anaenda kuweka rekodi mpya kulingana na utabiri

Jr[emoji769]
Utabiri huo batili tusubiri tarehe nane mkuu ...hii game nimeshaingalia katika ulimwengu wa roho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajukikana wewe ni shabiki lialia wa Simba. Utabiri halisi mnyama anakula tatu.
 
Hii ndio ile hesabu ya kilimo cha Matikiti [emoji525] [emoji525] [emoji525] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "
Unajukikana wewe ni shabiki lialia wa Simba.
Utabiri halisi mnyama anakula tatu.

Jr[emoji769]
 
Yanga imeshindwa kuvunja record ya sare sita iliyowekwa na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…