Utabiri wangu mechi ya Simba na Yanga, tarehe 8 Machi

Kuna tukio kubwa saana litatokea uwanjani Tena narudia Tena Kuna tukio kubwa Sana litatokea na linawezekana likahusisha na kifo kabisa.

Kuna matokeo magumu Sana hayato aminika siku hyo na Kuna boss mmoja atatoa kauli tata sana

kilicho akilini kitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…