Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio ile hesabu ya kilimo cha Matikiti [emoji525] [emoji525] [emoji525] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
So farWaswahel wana semi zao..
Mla jana kala nini...?
Ganda la mua la jana...?
Jr[emoji769]
Tukutane kwa Nkapa. Rais wa CAF atakuwepo. Mo ameanza kumshobokea.Siku hiyo haya MAGAZIJUTO yatafeli
Jr[emoji769]
Kwa marefa haitoshi, kaenda CAF Kabisa. ☹️☹️[emoji124][emoji124][emoji196]
Jr[emoji769]
Na wewe umeona utabiri kulingana na ushabiki wa wa Yanga?Unajukikana wewe ni shabiki lialia wa Simba.
Utabiri halisi mnyama anakula tatu.
Humu hakuna utabiri bali kila mtu na ushabiki kwa timu yake.
SawaHumu hakuna utabiri bali kila mtu na ushabiki kwa timu yake.
Waganga sasa wameanza kubeti😜
Hii sio betting ni utabiri na mimi sio mganga
Jr[emoji769]
Hata shetani hujikana!
Ngoja nami nijikane "wapi nimeandika mshana mganga"..?😜
Hakuna ulipoandika[emoji23]
Jr[emoji769]