Utabiri wangu mechi za yanga tanga

Utabiri wangu mechi za yanga tanga

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
kati ya jkt mgambo na africaspoti zote za tanga kati ya hizo yanga mechi moja atafungwa na nyingine suluu
 
kati ya jkt mgambo na africaspoti zote za tanga kati ya hizo yanga mechi moja atafungwa na nyingine suluu

Utasubiri sana. Kazi kuiombea dua baya Yanga badala ya kuiombea timu yako iifunge Azam ili sisi tuongoze ligi.

Pole sana Wamchangani.
 
Mechi moja umepatia jomba, tusubiri hiyo nyingine, ila umetisha.
 
Mkuu wakimataifa imebakia mechi moja utabiri wako utimie.
Naimani utabiri Wako utatimia kwa 100℅.

cc Makoye Matale
 
Last edited by a moderator:
mechi inayofuatia inabadilikabadilika kuna droo au yanga atashinda lakini si zaidi ya goli 2
 
Back
Top Bottom