Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tuna nafasi ya kupokea hicho kijiti na sisiCONCLAVE ni mkutano wa Cadrinali wa Roman Catholic kote duniani ambao hukutana VATICAN city katika kanisa la st cecilia bathlica kwa ajili ya kumchagua papa, wajumbe wa mkutano huo wote huwa ni wagombea wa cheo hicho cha pope. hapa bongo atakaehudhuria mkutano huo ni cadrinali LUGAMBWA askofu mkuu wa jimbo kuu la Tabora
Rugambwa bado ni kijana, labda kardinali Arinze wa NigeriaBasi tuna nafasi ya kupokea hicho kijiti na sisi
Kwa nini siyo Asia?Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa
🙏
technology ni tamaduni we zwazwa nini!Lakini bado unatumia Tamaduni za watu kujibu Msg
Sisi waafrika ndio bado tumeshikwa masikio sio..?Asia asilimia kubwa wana Miungu na Dini zao
Labda Papa MusofeNatabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa
🙏
🤣🤣🤣Labda Papa Musofe
Si leo wala kesho bara la Afrika litaweza kutoa Papa. Hili hilo liwezekane kwanza inatakiwa bara la waafrika lipate makardinali wengi, walau 1/3 ya markadinali wapiga kura.Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa
🙏
Duh! mtu umri umeenda yule unasema bado kijana. Kwa umri wake wa miaka 64 anaweza akawa Papa kabisa sema ni jambo ambalo haliwezekani kutokea sababu ya rangi yake.Rugambwa bado ni kijana, labda kardinali Arinze wa Nigeria