S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Feb 28, 2025 #21 Kiwango cha sadaka zinazoenda Vatican ndio huamua papa atoke wapi Africa hadi mavazi ya maaskofu ni misaada toko nje
Kiwango cha sadaka zinazoenda Vatican ndio huamua papa atoke wapi Africa hadi mavazi ya maaskofu ni misaada toko nje
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 730 Reaction score 1,478 Feb 28, 2025 #22 Mtajuana wenyewe huko
S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Feb 28, 2025 #23 Royal Son said: Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa 🙏 Click to expand... Africa huwa mnapeleka shilingi sadaka Vatican hadi mpewe huo upapa?
Royal Son said: Natabiri Papa ajae atatokea Afrika na sasa ni zamu yetu na sisi waafrika kuwa na Papa 🙏 Click to expand... Africa huwa mnapeleka shilingi sadaka Vatican hadi mpewe huo upapa?