Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Wewe lazima ni muislamu 😁 muislamu ni kiumbe chenye ku practice upumbavu na unafiki
Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe Lakini sikubaliani na msimamo wa TEC kwenye mambo ya Serikali, ni Fr Kitima ndiyo anawapoteza
 
Kama unatoa zaka wewe ni mpumbavu hujui hata misingi ya zaka😁😁
 
Yametimia. Mungu ni mwema nimeshuhudia kwa macho yangu.

Ni Samia Suluhu Hassan.

Haya tukapige kazi.
 
Happy Birthday,

Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Mkuu kwa nchi yetu bado sana mwanamke kukubalika ktk nafasi hiyo......lakini pia mpaka sasa hv hakuna mwanamke yeyote ktk nafasi yoyote aliyefanya makubwa ili kushawishi uma hususani wanaume kuwakubali kwenye uongozi.
Ye alisema tu Rais atakua mwanamke kuhusu ataingia madarakani kwa kumuua bosi wake,kuua wananchi,kuiba kura,.......hilo hajalisema😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…