Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Mkuu unaona mbali sana kwan inasemekana hata kwenye chama chakavu mama wa kiun*gujan alishinda isipokuwa hakuwa na mtandao wa kumsapot ndio maana wenye mtandao wakamweka mtu wao.
Ooh. Asante sana mkuu.
 
Mkuu kwa nchi yetu bado sana mwanamke kukubalika ktk nafasi hiyo......lakini pia mpaka sasa hv hakuna mwanamke yeyote ktk nafasi yoyote aliyefanya makubwa ili kushawishi uma hususani wanaume kuwakubali kwenye uongozi.
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Daah, haya bhana Mkuu....Hongera kwa Unabii uliotimia japo ulibezwa sana, na next one 2030 ???
 
Wahuni tunao humu wanajua wanachokifanya wala sio tabiri hizi ni mipango yao ya muda mrefu..!!
Mimi mwenyew sipo kwenye system lkn naweza toa mkeka ukatiki
Mpana
Mr slow
Mr project
Mr Will
Mr tobo

Mmoja wa hawa hatofika October tutamfukia mavumbini
 
Back
Top Bottom