Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Maisha ya kijijini ni mazuri kuliko huko kwenu mjini mnavyoishi kwenye vichochoro chumba kimoja chenye dirisha kama upo jela.

Sasa mbona ulianza kuleta matusi? Ukiona kwenye mada yeyote hata kwenye hoja nyepesi mtu anaanza matusi badala ya kujibu muktadha basi jua kashashindwa.

Ni sawa na kuona wingu jeusi then unasema mvua itanyesha baada ya muda mchache ,inatakiwa useme mvua itanyesha wakati kukiwa na jua kali halafu anga jeupe hapo ndiyo tutajua una maono.

VC president ni mwanamke halafu unaleta utabiri eti rais 2025 atakuwa mwanamke huo ni UBASHIRI.

Kuna mtu hapa alitabiri ngede itadondoka na kweli ikadondoka ,alitabiri tukio ambalo ni nadra sana kutokea ,huo ndiyo utabiri ,kuna member humu yeye anatabiri kuna mtu mkubwa atakufa ndani ya miezi michache na watu wanamuamini ,huo ni ujinga hakuna binadamu atakaye ishi milele iwe mdogo au mkubwa ,sasa ikitokea kiongozi kafariki wanaona jamaa amepatia ,ni UZWAZWA huo.
Naam
 
Daaaah 2025 ndo tupo hapa tunachanga Bilioni zetu za kampeni
 
Wahuni tunao humu wanajua wanachokifanya wala sio tabiri hizi ni mipango yao ya muda mrefu..!!
 
Back
Top Bottom