Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Ungezungumza before 2015 ungekuwa utabiri mzuri ,ila umezungumza kipindi VP ni Mwanamke naona hapo siyo utabiri bali ulikuwa UBASHIRI.

Yaani vitu tayari vipo kwahiyo unabashiri kwamba huyu VP aliyopo anaweza kuja kuwa Prezzo...ingependeza 2014 ambapo hakuna mwanamke kabisa katika hizo ranks ungeeleweka vizuri...Ni sawa na Qchief anatabiri eti Mwana FA atakuja kuwa waziri kamili ,that's nonsense.
Ilimradi upinge tuu kisa unaona kilichozungumziwa kinakwenda kuwa.
 
Aliyeweza kutabiri utabiri wa kweli tena kabla ya wakati na kumtaja jina kabisa ni Paschal Mayalla ndiye aliyetabiri kwa uhakika 2015 Rais anaweza kuwq Magufuli.

Achana na huyu tapeli hakuna utabili wowote hapo, hata sheikh Yahya alishatowa tabiri zake za kimchongo Rais ayaje atakuwa mwanamke.

Mtabiri wa kweli ni Mayalla peke yake aliyemtaja jina kabisa Magufuli miaka kadhaa kabla ya mchakato, twna angekuwa tapeli ilikuwa Rahisi tu kutabiri ni Lowasa ndiye atakuwa Rais maana upepo ulikuwa kwake.
Huyo mayala alitabiri hayo mwaka gani?
 
Utabiri wa uongo,utabiri sahihi ulikuwa ni Tanzania kuwa na rais mwanamke 2017 na sio 2025.
 
Back
Top Bottom