Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Aliyeweza kutabiri utabiri wa kweli tena kabla ya wakati na kumtaja jina kabisa ni Paschal Mayalla ndiye aliyetabiri kwa uhakika 2015 Rais anaweza kuwq Magufuli.

Achana na huyu tapeli hakuna utabili wowote hapo, hata sheikh Yahya alishatowa tabiri zake za kimchongo Rais ayaje atakuwa mwanamke.

Mtabiri wa kweli ni Mayalla peke yake aliyemtaja jina kabisa Magufuli miaka kadhaa kabla ya mchakato, twna angekuwa tapeli ilikuwa Rahisi tu kutabiri ni Lowasa ndiye atakuwa Rais maana upepo ulikuwa kwake.
Anatabiri au anadokezwa na watu wa mifumo!?
 
Ilimradi upinge tuu kisa unaona kilichozungumziwa kinakwenda kuwa.

Hakuna utabiri hapo mkuu bali ni UBASHIRI.

Utabiri unaongea kitu ambacho kwa wakati huo hakuna atakayeamini kwasababu hakuna possibilities za kutokea....Sasa unatabiri 2025 rais mwanamke huku VC ni mwanamke ni Utter Non Sense! Yaani Possibility ya VC kuwa Rais ni 50/50.

Subiri SSH amalize 2030 then ndiyo useme 2030 Rais atakuwa Mwanamke hapo nitakuelewa maana hata mchakato haujaanza.
 
Hakuna utabiri hapo mkuu bali ni UBASHIRI.

Utabiri unaongea kitu ambacho kwa wakati huo hakuna atakayeamini kwasababu hakuna possibilities za kutokea....Sasa unatabiri 2025 rais mwanamke huku VC ni mwanamke ni Utter Non Sense! Yaani Possibility ya VC kuwa Rais ni 50/50.

Subiri SSH amalize 2030 then ndiyo useme 2030 Rais atakuwa Mwanamke hapo nitakuelewa maana hata mchakato haujaanza.
Naam
 
Vitu vizito ndip kijijini kwenu walivokudanganya..??hayo ni mashuzi mazito..na sio vitu vizito kama unavyotaka kujiaminisha
Maisha ya kijijini ni mazuri kuliko huko kwenu mjini mnavyoishi kwenye vichochoro chumba kimoja chenye dirisha kama upo jela.

Sasa mbona ulianza kuleta matusi? Ukiona kwenye mada yeyote hata kwenye hoja nyepesi mtu anaanza matusi badala ya kujibu muktadha basi jua kashashindwa.

Ni sawa na kuona wingu jeusi then unasema mvua itanyesha baada ya muda mchache ,inatakiwa useme mvua itanyesha wakati kukiwa na jua kali halafu anga jeupe hapo ndiyo tutajua una maono.

VC president ni mwanamke halafu unaleta utabiri eti rais 2025 atakuwa mwanamke huo ni UBASHIRI.

Kuna mtu hapa alitabiri ngede itadondoka na kweli ikadondoka ,alitabiri tukio ambalo ni nadra sana kutokea ,huo ndiyo utabiri ,kuna member humu yeye anatabiri kuna mtu mkubwa atakufa ndani ya miezi michache na watu wanamuamini ,huo ni ujinga hakuna binadamu atakaye ishi milele iwe mdogo au mkubwa ,sasa ikitokea kiongozi kafariki wanaona jamaa amepatia ,ni UZWAZWA huo.
 
Ni lini Tanzania vice president alikua. Rais ili iwe likely kwamba event aliyotabiri ni rahisi kutokea.??

Chini ya 2015 hakuna VP ambaye alikuwa mwaname.

Kwanini hakutabiri chini ya 2010 ambapo VPs walikuwa wanaumme? Why ametabiri 2020 ambapo VP alikuwa mwanamke? Hauoni hapo alicheza na katiba kwamba VP muda wowote anaweza kuwa Rais?
 
Back
Top Bottom