Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!

Wampendekeze TULIA ACKSON! Maana ndiye kwa sasa anayeonekana kuibeba Serikali ya CCM kuanzia Bungeni mpaka Ikulu!!!!!
 
Anyway, 2025 mbali sana tufikirie 2020. Mimi naona kuna chama kipya kitaundwa kabla ya 2020 na kitatikisa sana uchaguzi wa 2020 kama siyo kushinda kabisa. Mwanzilishi wake atatoka ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom