babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Hakutakuwa na mtifuano kama 2015. Mafisadi waliokuwa wanataka kutupatia rais wapo chali na mitandao imezikwa rasmi Magufuli aliposhinda!2025 mtifuano utakua mkubwa sana na wa aina yake, suluhisho itakua kwa mwanamke! Na Atashinda!
Kikwete aliposhinda mara ya kwanza 2005 watu hawakupoteza muda kuanza kampeni 2015 lakini sasa hivi umeona kuna mtu hata anajaribu kutengeza mtandao wake wa uchaguzi 2025?