Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Utabiri wangu: Rais 2025 Tanzania ni mwanamke

Damu itamwagwa na huyo anaye ng'ang'ania uongozi kwa sababu lazima atatumia mbinu chafu kuendelea kukaa madarakani ..tumia akili sisi tunaona mbali sana hadi kufika 2024, sa100 hatakuwa kachokwa na uchumi wa nchi utakuwa umekufa kabisa ila sijui kama yeye mwenyewe atakuwa na moyo wa kutaka madaraka kinyume na watz
Ndoto za mchana wa jua kali, ungejua namna miradi iliyoachwa na marehemu JPM inavyoendelea kukamilika mmoja baada ya mwingine usingekuja na mawazo kama haya.
 
Mkuu kwanini upende kutumia maneno makari kwa mtu unayehisi katofautiana kimtazamo na wewe?? hata Mimi nilikuwa na haiba Kama yako lakini baada ya kuona jf Ina watu wasitaarabu nakila nilipojaribu kuwa na tabia za ajabu wanajf walinikanya, mwisho wa siku nimeacha kabisa kutumia maneno ya kukela, jf imenifunza kuwa mtu mvumilivu na mwenye kuheshimu watu wote ninaohisi siko nao pamoja kimtazamo.

Heshimu mawazo ya watu , badilika Mkuu!!! [emoji120][emoji120][emoji120]
Mbona nyinyi pimbi .. jpm mlikuwa mnamwita majina machafu au unadhani tumesahau
 
Wewe some time ni zuzu kwelikweli .....hicho kitu ni impossible...samia ndiye rais wa mwisho mzanzibar kuja kuwa rais wa muungano baada ya samia hakuna zanzibar atakaye kuwa Rais hadi muungano utakapo vunjika
Umenena, haitotokea.
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!

Kwani kuna mwingine zaidi ya SSH! huyu mama hata atawale miaka 50 sawa tu, ila naomba arekebishe suala la makodi/tozo ya aina yoyote
 
Mbona nyinyi pimbi .. jpm mlikuwa mnamwita majina machafu au unadhani tumesahau
Mkuu sijawahi kuwakosea adabu viongozi wa Chama na serikali,ungesema mbowe na lissu ningekuelewa
 
Mkuu kwanini upende kutumia maneno makari kwa mtu unayehisi katofautiana kimtazamo na wewe?? hata Mimi nilikuwa na haiba Kama yako lakini baada ya kuona jf Ina watu wasitaarabu nakila nilipojaribu kuwa na tabia za ajabu wanajf walinikanya, mwisho wa siku nimeacha kabisa kutumia maneno ya kukela, jf imenifunza kuwa mtu mvumilivu na mwenye kuheshimu watu wote ninaohisi siko nao pamoja kimtazamo.

Heshimu mawazo ya watu , badilika Mkuu!!! [emoji120][emoji120][emoji120]
Nakukumbuka sana mkuu!

Uliwahi nipaka Sana baada ya ku ripoti ishu fulani hivi hukooo Tabora!

Nitaendelea kuililia Tabora Hadi itakapostawi ipasavyo!!

Umwinyi,Kujuana,rushwa,unafiki,fitna za kijinga zinaendelea kuitafuna Tabora!!

ACHA niendelee kuimba wimbo wangu huu:-

""Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Hili suala halina mpinzani hakuna Rais mwingine zaidi ya Rais Samia Suluhu
amefanya mambo mengi makubwa
 
Pia kwa nchi zetu za ki-Afrika, mkitaka kuchagua rais mwanamke, angalieni ameolewa na nani. Maana huyo mmewe ndiye atakayekuwa rais wenu wa nyuma ya pazia.
Mbona Rais Samia Suluhu yeye ndo kashika nchi na mme wake hajawai kuingilia acheni mawazo mgando wananwake wana haki ya kuongoza kama wanaume tena mwanaume ni zaidi ya mwanaume
 
Ndoto za mchana wa jua kali, ungejua namna miradi iliyoachwa na marehemu JPM inavyoendelea kukamilika mmoja baada ya mwingine usingekuja na mawazo kama haya.
Tatizo watu wanaongea kwa mihemko tu hawafatiilii mambo Rais Samia Suluhu amekamilisha miradi ndani ya siku 523 na bado anaendelea kuleta maendeleo
 
Kiukweli humu kuna watu mna midomo michafu!, mwanzo umenitukana zuzu mara moja tuu, I begged you, mimi sio zuzu na sipendi kuitwa zuzu!, tena nikakusisitiza heshima kitu cha bure!, badala ya heshima, sasa ndio umefungulia!, zuzu 7 ndani ya para 1!.
Naomba itoshe, mimi ni zuzu!.
Ubarikiwe na uwe na siku njema.
P
Usimjibu huyu P! Achana naye as long as wengi tunakuelewa
 
Naona kuna dalili zoote kuwa Rais wetu ajaye baada ya huyu wa sasa kuwa mwanamke!

Naomba hili liwe reference kwa 2025!
Sauti iliayo nyikani inakataa labda kwa mabavu ya wanufaika siohao wanaoishi mazingira wasiyoyaweza walioko kileleni
 
Mkuu sijawahi kuwakosea adabu viongozi wa Chama na serikali,ungesema mbowe na lissu ningekuelewa
Kumbe wewe ndiyo wale mnao amini kuwa mtu mpumbavu akiwa rais upumbavu unaondoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji90][emoji90]
 
Back
Top Bottom