C Cosovo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 667 Reaction score 1,810 Jan 3, 2022 #1 Pamoja na kuwepo timu bora kama Egypt, Morocco, Tunisia na Algeria lakini naamini wana wa Senegal watabeba kombe la Afcon 2022 Kameroun ataondolewa robo fainali Wewe utabiri wako ni yupi atabeba?
Pamoja na kuwepo timu bora kama Egypt, Morocco, Tunisia na Algeria lakini naamini wana wa Senegal watabeba kombe la Afcon 2022 Kameroun ataondolewa robo fainali Wewe utabiri wako ni yupi atabeba?
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Jan 3, 2022 #2 Chief, utabiri wako ume base kwenye sababu za kiufundi, uzoefu wa ku bet, hisia, au sayansi ya jadi ya kiafrika?
Chief, utabiri wako ume base kwenye sababu za kiufundi, uzoefu wa ku bet, hisia, au sayansi ya jadi ya kiafrika?
C Cosovo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 667 Reaction score 1,810 Jan 3, 2022 Thread starter #3 Sesten Zakazaka said: Chief, utabiri wako ume base kwenye sababu za kiufundi, uzoefu wq ku bet, hisia, au sayansi ya jadi ya kiafrika? Click to expand... Ufundi,morality na wachezaji wenyewe ,golikipa bora wa Chelsea bwana mdogo Mendy
Sesten Zakazaka said: Chief, utabiri wako ume base kwenye sababu za kiufundi, uzoefu wq ku bet, hisia, au sayansi ya jadi ya kiafrika? Click to expand... Ufundi,morality na wachezaji wenyewe ,golikipa bora wa Chelsea bwana mdogo Mendy
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jan 3, 2022 #4 Final ni Senegal na Algeria..
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Feb 7, 2022 #5 Ulibeti mkuu? Ungewachuja
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Feb 7, 2022 #6 Kama ni utabiri umepatia