Utabiri wangu: Senegal atachukuwa kombe AFCON 2022

Utabiri wangu: Senegal atachukuwa kombe AFCON 2022

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Pamoja na kuwepo timu bora kama Egypt, Morocco, Tunisia na Algeria lakini naamini wana wa Senegal watabeba kombe la Afcon 2022

Kameroun ataondolewa robo fainali

Wewe utabiri wako ni yupi atabeba?
 
Chief, utabiri wako ume base kwenye sababu za kiufundi, uzoefu wa ku bet, hisia, au sayansi ya jadi ya kiafrika?
 
Back
Top Bottom