Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos. Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 + kucheza soka safi
Kila mtu ajipiganie kwenye kundi lake kuitafuta mwakaroboNB tuonyeshe uzalendo.... muhimu Simba na Yanga zipite robo final
TutaheshimianaaaaMara paaap Simba vs Yanga CAFCL Final
Musonda, OgAZIZ KI..... pacome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alizo funga simba ndio yanga atapigwa.
Huu ndio uzalendo anaouzungumzia mleta mada?