Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Leo nmepata urahisi wa kuweza kujua matokeo ya baadaye kati ya wananchi dhidi ya medeana fc tofauti na mechi ya Jana ya kolos
Mitambo yanagu inaniambia mwanchi anaenda kushinda 3......0 + kucheza soka safi
NB tuonyeshe uzalendo.... muhimu Simba na Yanga zipite robo final