Utabiri wangu: Yanga 3......0 medeana

Bwana weee umeoteeeeaaa...
Timu ambayo mlijihakikishia point 6 mkajipatia 4 sasa ulifikiri ingekuwaje haoa daslam..yani Medeama ni hovyo...
Tukutane fainali CAF champions league
 
Mara paaap Simba vs Yanga CAFCL Final
Nami Nina wasiwasi hii inawezekana labda kama zitafuzu zote zikiwa zimeshika nafasi ya moja yaani iwapo mnyama akifuzu namba 2 katika kundi lake na pia Yanga afuzu namba 2 ktk kundi lake basi hapo hawatakutana robo fainal, Lakini mmojawapo akishika namba 1 katika kundi lake na mwingine no. 2 ktk kundi lake, mmh! Hapo ktk draw ni kuomba Mungu tu!!
 
Hatari sana ....ngoja tuone
 
Acha uchawi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…