Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

Nimeshaweka tayari uzi wa kujitoa jf na kuaga . Naona mods wameuunganisha na uzi mwingine.

Nilisema utabiri wangu ukifeli najitoa jf
Mkuu bado kwenye ramli we ni mchanga,una vision na unakuja vizuri sema tu mizimu ilitumia mafumbo ukawaelewa vibaya ndo maana matokeo yakaja kinyume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio utabiri wangu.

Yanga watashinda kwa magoli mawili kwa sifuri.

Magoli yote mawili yatafungwa na Walid Mzize na yatafungwa kipindi cha kwanza.

Watu mlio karibu na benchi la ufundi la Yanga fanyieni kazi taarifa hii.

Endapo haitakuwa hivi basi nitajitoa jamii forums moja kwa moja na sintopost wala kucomment chochote hapa jf.

I put one hundred percent in everything that I have said above👆

Update:

1. Mzize akifunga magoli yote mawili kipindi cha pili nitajitoa kwa sababu nimesema Maize atafunga magoli yote mawili kipindi cha kwanza

2. Kama Mzize atafunga goli moja kipindi cha kwanza na mpya kipindi cha pili nitajitoa JF moja moja

3. Kama Yanga watashinda magoli mawili ila ya kafungwa na wachezaji wengine nitajitoa pia.

4. Kama Yanga watafungwa magoli matatu kwa mawili lakini magoli mawili yote ya Yanga yakafungwa na Mzize kipindi cha kwanza still bado nitajitoa JF hata kama half time itamalizika kwa Yanga kuongoza magoli mawili kwa sifuri na yote yawe yamefungwa na Mzize.

# my love moves in the direction of my words.
Liangalie Lipumbavu na Kubwa Jinga hili. Huwezi kutwa Kumchukia GENTAMYCINE wa Watu hapa JamiiForums halafu ukawa na Akili timamu. Ona sasa Ulivyoumbuka.
 
Liangalie Lipumbavu na Kubwa Jinga hili. Huwezi kutwa Kumchukia GENTAMYCINE wa Watu hapa JamiiForums halafu ukawa na Akili timamu. Ona sasa Ulivyoumbuka.
Aaaah c'mon Genta we know you 😂
 
Liangalie Lipumbavu na Kubwa Jinga hili. Huwezi kutwa Kumchukia GENTAMYCINE wa Watu hapa JamiiForums halafu ukawa na Akili timamu. Ona sasa Ulivyoumbuka.
Sawa GENTAMYCINE Mi ndo najitoa hivyo jf. Najitoa mazima. Hutokuwa tena na mtu wa kukuzingua kwenye post zako kuchangamsha kijiwe...
 
Unakuwaje umejitoa tayari na huku unaendelea ku comment ndugu!!??
Sasa si ndio uzi wangu wa mwisho huu mkuu. Tayari nimesha jiuluzu so naachia ofisi.

U will never see me again commentinf or posting anything on jf
 
1700859383928.jpg
ngapi huko bwana mtabiri manyau nyau
 
Angeandika kuwa anajitoa kwa ID ya LIKUD ningeona kaandika ukweli.
Mkuu ukisha kuwa na ID ambayo umeizoea na umeitumia kwa muda mrefu ni ngumu sana kuanza upya na ID nyingine.

Nilijiunga jf mwaka.2012 na sasa ni 2023..Almost miaka.kumi na.moja mkuu.

Ni ngumu sana kuja na.id mpya just like that.

ID mpya ina.make.sense kama.unazitumia zote mbili kwa.pamoja.
 
Timiza ahad we mbweha huku hawapo marumo waliowapa sifa ambazo hamna
 
Ndo maana Mungu amekataza ramli ni Haram na mwenye kupiga ramli ni mushriki
 
Sawa GENTAMYCINE Mi ndo najitoa hivyo jf. Najitoa mazima. Hutokuwa tena na mtu wa kukuzingua kwenye post zako kuchangamsha kijiwe...
Screenshot_20231125-002017.png

Huna Akili. Kazi kumuiga tu GENTAMYCINE katika Kutabiri ukadhani nawe ungepatia na kumuweza kumbe umewezwa Wewe na Kuumbuka

Mwenzako GENTAMYCINE unayemchukia Kutwa na baadhi ya Wapumbavu wenzako hapa Jana ( Ijumaa ) Saa 1 Usiku katika Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko alikuja na Uzi akisema kuwa kuna Timu jana ( akifumba huku akiilenga Yanga SC ) itafungwa ama Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 0 na kweli Matokeo yamekuja kama alivyosema.

Huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) mnamchukia na kumuonea Wivu ila ana Talanta nyingi alizobarikiwa nazo ambazo Wengi wetu hatuna na badala yake kwa Roho Mbaya zetu tunaamua Kumuandaa, Kumchokoza, Kumdhalilisha, Kumchafua kwa maneno mabaya na Kumtukana.

Laana zake zitawamalizeni nyote tu.
 
Back
Top Bottom