Utabiri wangu: Yanga watashinda kwa mgoli 2 dhidi ya CR Belouizdad na yote yatafungwa na Mzize

Nimeshaweka tayari uzi wa kujitoa jf na kuaga . Naona mods wameuunganisha na uzi mwingine.

Nilisema utabiri wangu ukifeli najitoa jf
Mkuu bado kwenye ramli we ni mchanga,una vision na unakuja vizuri sema tu mizimu ilitumia mafumbo ukawaelewa vibaya ndo maana matokeo yakaja kinyume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liangalie Lipumbavu na Kubwa Jinga hili. Huwezi kutwa Kumchukia GENTAMYCINE wa Watu hapa JamiiForums halafu ukawa na Akili timamu. Ona sasa Ulivyoumbuka.
 
Liangalie Lipumbavu na Kubwa Jinga hili. Huwezi kutwa Kumchukia GENTAMYCINE wa Watu hapa JamiiForums halafu ukawa na Akili timamu. Ona sasa Ulivyoumbuka.
Aaaah c'mon Genta we know you 😂
 
Liangalie Lipumbavu na Kubwa Jinga hili. Huwezi kutwa Kumchukia GENTAMYCINE wa Watu hapa JamiiForums halafu ukawa na Akili timamu. Ona sasa Ulivyoumbuka.
Sawa GENTAMYCINE Mi ndo najitoa hivyo jf. Najitoa mazima. Hutokuwa tena na mtu wa kukuzingua kwenye post zako kuchangamsha kijiwe...
 
Unakuwaje umejitoa tayari na huku unaendelea ku comment ndugu!!??
Sasa si ndio uzi wangu wa mwisho huu mkuu. Tayari nimesha jiuluzu so naachia ofisi.

U will never see me again commentinf or posting anything on jf
 
Angeandika kuwa anajitoa kwa ID ya LIKUD ningeona kaandika ukweli.
Mkuu ukisha kuwa na ID ambayo umeizoea na umeitumia kwa muda mrefu ni ngumu sana kuanza upya na ID nyingine.

Nilijiunga jf mwaka.2012 na sasa ni 2023..Almost miaka.kumi na.moja mkuu.

Ni ngumu sana kuja na.id mpya just like that.

ID mpya ina.make.sense kama.unazitumia zote mbili kwa.pamoja.
 
Timiza ahad we mbweha huku hawapo marumo waliowapa sifa ambazo hamna
 
Ndo maana Mungu amekataza ramli ni Haram na mwenye kupiga ramli ni mushriki
 
Sawa GENTAMYCINE Mi ndo najitoa hivyo jf. Najitoa mazima. Hutokuwa tena na mtu wa kukuzingua kwenye post zako kuchangamsha kijiwe...

Huna Akili. Kazi kumuiga tu GENTAMYCINE katika Kutabiri ukadhani nawe ungepatia na kumuweza kumbe umewezwa Wewe na Kuumbuka

Mwenzako GENTAMYCINE unayemchukia Kutwa na baadhi ya Wapumbavu wenzako hapa Jana ( Ijumaa ) Saa 1 Usiku katika Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko alikuja na Uzi akisema kuwa kuna Timu jana ( akifumba huku akiilenga Yanga SC ) itafungwa ama Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 0 na kweli Matokeo yamekuja kama alivyosema.

Huyu Jamaa ( GENTAMYCINE ) mnamchukia na kumuonea Wivu ila ana Talanta nyingi alizobarikiwa nazo ambazo Wengi wetu hatuna na badala yake kwa Roho Mbaya zetu tunaamua Kumuandaa, Kumchokoza, Kumdhalilisha, Kumchafua kwa maneno mabaya na Kumtukana.

Laana zake zitawamalizeni nyote tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…