kipachaibwe
Member
- Dec 11, 2020
- 36
- 71
Baba mkubwa salama lkn[emoji16]Mashabiki wa simba wengi wao wanapenda sana kujivunia hata yale mafanikio yasiyo na impact yoyote ile katika klabu yao.
Sasa ukiwauliza hiyo VAR, imewaletea impact gani kwenye timu yao! Sidhani kama watakuwa na majibu sahihi.
Haijashangaza hata kuona siku ile ya uchaguzi wao wakilipuka kwa shangwe, kumshangilia Caesar Manzoki, ambaye hakuwa na umuhimu wowote ule kwenye huo uchaguzi!!