Utabiri: Yanga itakuwa Klabu ya Tatu nchini kutumia VAR baada ya Simba SC na Simba Queens

Baba mkubwa salama lkn[emoji16]
 
Hawajielewi
 
Teh teh teh 😂😂 usikasirike chief....take it easy.
 
Mwaka huu wana makombe mengi sana imagine kombe la VAR tayari wanalo, Chama yupo kwenye timu ya wiki ya CAF, Inonga kuitwa timu ya Taifa, Barbara ni secretary huko CAF, Manzoki mjumbe wa mkutano mkuu
Hawa jamaa hata ukiamua kuwatandika viboko, bado wanaweza kukusifia! Yaani tangu walipoitwa mbumbumbu, mpaka leo hakuna mabadiliko. Bado akili zao ziko vilevile.
 
Msiwanange sana jamani, taratibu watazoea mambo haya ya kimataifa. Sasa hivi wanajiandaa kufanya parade J2 kutoka Jangwani hadi Uwanja wa Taifa kwenda kusherehekea kuingia robo fainali.

Wanasahau walikuwa wanawakebehi wengine ambao imekuwa ni kawaida kwao kuingia robo fainali.
 
Mkuu Kwani hujui kuwa Wana Simba ni Mbu mbu mbu


Huoni hata thread wanazoleta humu
 
So nyie mpo mnasubiri orodha wakati wenzenu tumeshataarifiwa na Caf toka December mwaka Jana
Ndiyo maana kuna nguvu kubwa ya kuipiga vita Simba sasa hivi. Wanatamani sana kupindua meza waende wao, ndiyo maana anakuuliza kuna list imeshatangazwa? Siwaamini kabisa waswahili hawa.
 
Mechi ya Simba na Berkane ambayo ilitegemewa VAR kutumika uwanjani haikutumika kwa mujibu wa mtaalam wa Azam ambaye alikua anashughulika utaalamu uo, Camera hazikutosha kufunga mfumo VAR.
Hata mwamuzi alipotakiwa na wachezaji wa Berkane kujiridhisha katika baadhi ya Matukio hakwenda kwakua alijua hakukua na VAR.
Berkane walikua wakilalamikia Goli la Sako ambalo Kwa mujibu wa picha za video kupitia Azam tv kabla ya kufungwa Kwa goli ilo Medi Kagere alikua ofside Kwa kuuingilia mchezo na kuzuia uoni wa Kipa wa Berkane wakati akitaka kudaka mpira ulio pigwa na Sakho.

Penalty ambayo Berkane Wana lalamikia kunyimwa baada ya Aishi Manura kuchelewa ku udaka mpira na ku mwangusha mchezaji wa Rs Berkane.
Goli la kusawazisha la Rs Berkane lililo kataliwa kuonekana halikua na tatizo lolote kupitia picha za video za Azam tv.

Matukio yote Kwa ujumla yalihitaji refarii kutoka Kongo bwana Ndala kwenda kuyathibitisha kupitia picha za marejeo ya Television ila hakwenda na kupelekea Bench la Rs Berkane kufanya Vulugu katika mchezo huo.
Hata hivyo Refa uyo baaadae alikuja kufungiwa kutokana na Rs Berkane kutuma malalamiko Yao Kwa CAF.
 
furaha ni furaha tu, Kama umezidiwa Jambo na mpinzani kubali na ujipange, sio kuangalia faida. Kwan wewe Yanga ikichukua ubingwa shirikisho unapata faida gan? utaingia kwenye mgao wa hela? Yanga ikichukua kombe kuna salary yako inapanda? Ustake kujaj furaha ya mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…