Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Wewe je utachagua kipi?Kuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Me nakwenda na blueKuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Ntachagua cha blue bilion 1 inatosha kuendesha maisha yanguKuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Nachukua red pill yani mpaka narudi kuwa na umri huu nitakuwa bilionea wa kutupwaKuna Vidonge Viwili
Cha Blu na Chekundu
Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa
Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu
Unachagua kidonge kipi? Kwanini?
Karibuni wadau
Mbona kama vile uko OP (out of point) mdauSitachagua chochote.
Sababu.
1. Siwazi yaliyopita, Bali ya sasa na yajayo.
2. Nataka pesa ya kutafuta mwenyewe si ya kupewa.
ππ¨πππacheni kuwaza ujinga!
Kipengele hichoMnamitego nyie Kwaio Hiyo 1b napewa lini
Nimalizie pango langu
Nakaziaacheni kuwaza ujinga!
Kama wanawaza ujinga nawe umesoma kile kilicho andikwa na mtu anae waza___,,, pigia mstari na wewe karibuni utaanza kuwaza____malizia hapoacheni kuwaza ujinga!