Utachagua kidonge kipi?

Utachagua kidonge kipi?

Yaani
Kuna Vidonge Viwili

Cha Blu na Chekundu

Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa

Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu

Unachagua kidonge kipi? Kwanini?

Karibuni

Karibuni wadau
Yaani nirudi utotoni nichapwe tena fimbo?
 
Kuna Vidonge Viwili

Cha Blu na Chekundu

Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa

Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu

Unachagua kidonge kipi? Kwanini?

Karibuni wadau
Dah Kidonge cha Chekundu ili waniandike kwenye Maajabu Saba Duniani 😅🤣🤣
 
Nitaenda na chaguo la kwanza
Kuna mistake nyingi sana ningependa kuzisahihisha ambazo madhara yake yalikua ni zaidi ya 1 Billion
ILa tatizo Ukicorrect hizo mistakes Tu unakuwa Umechagua another Path na hutakuwa na Maisha uliyonayo sasa..
(Timetravelling Paradox)..
Ukicorrect hizo mistake unachoose anothee timeline path..

Kwa mfano tuseme Hukufaulu Form six ukafanikiwa Kucorrect na ukafaulu form six utakutana na marafiki wengine even Another life kabisa
 
Hicho cheusi ndo kizuri, kipo unique.
 
Unachagua kidonge chekundu kisha unarudi kua mtoto,halafu unatekwa na wanaoteka watoto,wanakuua kisha wanakukata viungo!

Au unarudi utoto,halafu wazazi wako wanakua wamesha zeeka,unakosa wazazi wakukulea,unaingia mtaani unaanza kuokota mazagazaga hovyo tu
 
Kama hiyo miaka sita nitarudi nikiwa nishatailiwa baaridi bora nile kidonge hiko tuu..

Ila kama wananirudisha ule umri nakuta bado sijafanyiwa sunnah sitaki
 
Mleta mada ulichagua kidonge gani, ili nione naweza kuchagua kipi!
 
Kuna Vidonge Viwili

Cha Blu na Chekundu

Ukichagua Kidonge Chekundu: Unarudi kuwa Mtoto wa Miaka 6 pamoja na Ujuzi Wote ulionao kwa sasa

Ukichagua Kidonge cha Bluu unapatiwa Tsh. Bilioni 1 Taslimu

Unachagua kidonge kipi? Kwanini?

Karibuni wadau
Ni mfano et
 
Unachagua chekundu unarudi utotoni wazee wa uchaguzi wanapita na wewe siku kadhaa mbele unapatikana maiti iliyoondolewa baadhi ya viungo.
 
ILa tatizo Ukicorrect hizo mistakes Tu unakuwa Umechagua another Path na hutakuwa na Maisha uliyonayo sasa..
(Timetravelling Paradox)..
Ukicorrect hizo mistake unachoose anothee timeline path..

Kwa mfano tuseme Hukufaulu Form six ukafanikiwa Kucorrect na ukafaulu form six utakutana na marafiki wengine even Another life kabisa
Fact 💪
 
Back
Top Bottom