Utachagua mlango upi mdau

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Mko baa mnakunywa mara ghafla mnavamiwa na majambazi na kutoa amri kua, toeni kila kitu mlo kuanacho mtupe chini, kisha uchague moja kati ya haya. Anaetaka kufa atokee mlango wa mbele, anaetaka kuishi atumie mlango wa nyuma ila ukubali kuliwa 0713. Je mlango upi utachagua na ndo hio hio iliopo na wameidhibiti na silaha. Hebu tusaidiane ushauri.
 
Bahati nzur nikiendaga shopping mall nachukuaga vizaga vyangu navileta kuvijaza kweny kabat hom
 
Mkuu hio bar au nyumba ya kuuzwa Ulevi wa kienyeji? Lakini kama itokee hivyo nitaruka na ungo tu mbona. Majambazi lazima na wao watoke nduki[emoji12] [emoji1]
 
sitatokea mlango wa mbele wala nyuma. nitaendelea kukaa tu kwenye kitichangu na kunywa bia yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…